Welcome, Guest: Join Kenyans247 Log In!

Stats: 282 Members, 13,158 topics and 65 posts Date:  Tuesday 22 September 2020 at 12:54 PM
Popular & Trending NewestFeatured Links ClassifiedDirectoryLivescoresLive Kenyan TVLive Kenyan Radio Follow Us Like Us

About Us Terms & Conditions Privacy Policy FAQ's Disclaimer Copyright Contact Us Advertise With Us Download K247 APP Marketplace Moderator Policy We Are Hiring Kenya Radio and TV Stations Listen and Watch Live Letter From the C.E.O Kenya Radio Stations Live Kenya TV Stations Live Kenya - Newspapers and News Sites and popular blog Forum Rules

Kagwe atishia kuwamulika wafanyakazi wa wizara yake ambao wamedinda kustaafu

Kenyans247 / Kenyans247 / General / Health / Kagwe atishia kuwamulika wafanyakazi wa wizara yake ambao wamedinda kustaafu

59 people viewed

Wakili Amlipia Karo Mwanafunzi Maskini Aliyetishia Kujitoa Uhai Kagwe Atishia Kuwamulika Wafanyakazi Wa Wizara Yake Ambao Wamedinda Kustaafu
(Go Down) (» Reply topic)
Kagwe atishia kuwamulika wafanyakazi wa wizara yake ambao wamedinda kustaafu by Kenyans247(1): Wed 08, July, 2020 02:03am
- Kagwe aliwavunja mbavu waandishi wa habari wakati alitishia kuwaanika maafisa wakongwe ambao wamekwamilia afisini mwake - Alisema ni jambo la busara kustaafu pasi na kuvutana wakati umri wako unapotimia - Haya yanajiri mwezi mmoja baada ya kutokea mvutano katika jumba la Afya wakati maafisa wanne wa Wizara ya Afya walikataa kuhamishwa - Kagwe alifanya uhamisho huo baada ya ripoti kutokea kuhusu kutoweka kwa mamilioni ya pesa Waziri wa Afya Mutahi Kagwe aliwachekesha waandishi wa habari wakati akitoa takwimu za COVID-19 Jumanne, Julai 7 baada ya kutishia kuwaanika maafisa ambao wamekataa kustaafu afisini mwake. Kagwe alikuwa akijibu swali huwahusu maafisa katika wizara yake ambao umri wao wa kustaafu umetimia lakini wangali wamekwama katika nyadhifa zao. Read more: https://kiswahili.tuko.co.ke/366995-kagwe-atishia-kuwamulika-wafanyakazi-wa-wizara-yake-ambao-wamedinda-kustaafu.html

0 Shares 0 Like •

(» Go Up)

You must Sign in or Sign Up to post content

For you to post content on this website you have to log in or register, it only take few minute to create account

Go Up

Recommended for you

Kagwe Atishia Kuwamulika Wafanyakazi Wa Wizara Yake Ambao Wamedinda Kustaafu Wakili Amlipia Karo Mwanafunzi Maskini Aliyetishia Kujitoa Uhai

Currently: 1 guest(s) reading this article

Sections: Agriculture, HistoryKe, Africa, Business, Huduma Centre, Innovation, Education, Technology Market, Webmasters, Building/Architecture, Events, Forum Games, Literature, Fashion, Social Media/K247 Chit-Chat, South Sudan Forum, Rwanda Forum, Ugandan Forum, Burundi Forum, Tanzania Forum,

About Us | Terms & Conditions | Privacy Policy | FAQ's | Disclaimer | Copyright | Contact Us | Advertise With Us | Download K247 APP | Marketplace | Moderator Policy | We Are Hiring | Kenya Radio and TV Stations Listen and Watch Live | Letter From the C.E.O | Kenya Radio Stations Live | Kenya TV Stations Live | Kenya - Newspapers and News Sites and popular blog | Forum Rules | Featured LinksFollow Us on TwitterLike Us on Facebook

Kenyans247 - Copyright © 2019 - 2020 Sande Kennedy. All rights reserved. See How To Advertise.
Disclaimer: Every Kenyans247 member is solely responsible for anything that he/she posts or uploads on Kenyans247.